Posted by: mboizmnoma | January 16, 2009

randomness

Nimedecide leo kudo vitu vidifferent asapa leo, yaani, nitado hii post kama vile boyfulani hu do matime fulani na pure sheng. So kaa chini, seti ile kitu we hutumia nikuchapie rysto fulani ya maisha yangu, lakini enyewe jo itakuwa ngumu kuelewa hii lugha especially kama “hujasoma”.

So nimekuwa mtaani throughout ma holiday na wasee wangu wa power, for once nikadecide nitaumia ocha vako. Nikiwa mtaani nikadecide nipitie wasee wa ghetto flani tushaigongana hapo tene nikiwa hustler. Hawa wasee walifanya nikarealize enyewe vile sir God amenitoa farthest.

Kama unajua South B poa, kuna hio kijiji imeanzia hio rotejo ya Estate ya Hazina, wasee ka wote wanachapa job industrial area wanaishi hapo. Mazee niliishi hapo kwa kakibanda fulani mi hukumbuka naskia kulia (for real). Maisha ilikuwa ni noma! Yaani ilikuwa hata zaidi ya noma. Hii ilikuwa afta nishamada campo na sikuwa na hata mkwaja ya kunisustain. Nika hustle nikaget ka internship, nikaingia Githu 45 ka single ka thou na punch. Huko sasa maisha ikanilemea lakini si kama b4, si kugive up. After kitu month ka tano ivi, nikaingia zimmer ka 1 bedroom ka tenga nne. Mahaters fulani wakaingiza chuki wakataka kunifagia/kunichapia kila kitu nikiwa maji siku moja. Ilikiwa niwapeleke wachukue kila kitu kwa kenja waniache ka niko kirai. Nikakumbuka venye maisha ilikuwa imenilemea before, vile niliteseka ndio nibuy hizo burus niliwanga nazo kidogo. Nikashika nare, ng’ang’o ikushuka, nikawaambia kifo ni moja, wacha kanuke! Na kakanuka ivo tu kimchezo, nikapokea maleft,maright na pia njumu kadhaa, pia wao walipokea zangu kiasi, bahati hakuna alikuwa na mchuma….otherwise wangeniondoa. Wangenionesha mchuma tu ivi, ningeingiza njeve nisare nitoke riadha kuliko bolt….weeee risasi sio ndengu!! The next day nikahamia sasa hii place naishi. Mtaa yenyewe iko fiti na secure lakini ni expe kiasi…..si complain lakini.

Enyewe sir God amenisaidia nikauma mbuku vifiti nikawai janta nikaeza toka ghetto place nilikuwa nikifukuza mamboch nikaingia mtaa mi hudeal na wasuper wa power – yaani vitu zimesimama. Pia akanisaidia nikaachana na chwara zingine ziliwanga kali sana, ng’ang’o siku hizi ni bia yaani mututhikaa, na pia najua siku moja nitaisare. Pia akanisaidia nikaacha kuseti majani….hii iliwanga mezesh especially nikiwa ghetto lakini karao hakuwahi niwai. Nikaseti ngare for sometime lakini pia hio nayo nikasare. Mi humshukuru sana jo juu ya vitu mob.

Nimepitia mengi (sio haya nimechora hapa pekee), ndo’ maana saa ingine utaniona nimenyamaza sitaki stori nikireminisce mahali nimetoka. Miaka inapita lakini kama vile Chiwawa huroga nitapita nayo, haitapita na mimi kama before. So mtu wangu ukiwa peke yako majioni ivi, b4 ujiekelee, reminisce kiasi na ushukuru Sir God kwa yote umepitia na pia kukufikisha mahali uko saa ii.

On my playlist

Nimetoka mbali: Nonini
My Life: The Game feat Lil Wayne.


Responses

  1. niaje, naona KIKWETU kiko apa tu kimesimama tu imara jo. kuna vile odijo wa mine manyu http://bantuts.blogpsot.com alienda awol mazee, kuna desertification kiasi juu mazee aliwanga akiangusha risto zingine zaangua kicheko kaa umechizika. pamoja!


    Haiya! kumbe unaelewa hii lugha..mi hudhani wewe ni kababi fulani :D

  2. Miaka kibao away maze na bado sijasahau hii sheng. Lakini hapo paragraph ya second last nimefogotha kiasi. Ngare ni what? Coz umeshasema kuhusu ng’ang’o na majani sasa ngare ni ile ya maNaijo ama ni what?


    Mseiya huwezi sahau sheng. mazee siku izi hii lugha mpaka ina dictonary yake. ukitaka kuijua poa ebu cheki hii link.

  3. Eeh, msee wa 45 then 44? Interesting. Mi nishadunga base 44 time fulani mpaka wakanichukulia burus zote za keja nikahamishia base 35/60 Umo. Enyewe mtu hutoka mbali na simaanishi mbali na tao, of course unaelewa.


    walalala..Githu (44 na 45) ni tafash kuishi, Eastlando kuna esto safe lakini ukipitia mausiku place kama Dandosh ,Uyole na KSouth, utaitana – eitha upatane na karao ama wasee wa ngeta na wote wanataka kuachiwa ‘yao’. ukitaka kuishi poa bila kugwaya any labda uishi ubabini

  4. Manze jo nimekufeel. Inasemekananga Sir huwanga na maplanz zake. Nipoa hujasahau kwenye umetoka juu na guess hiyo ndo huwanga motivator yako. Pamoja jo. Bomseh niaje kung’ara kifloataa hivi? Ngale huwanga fegi na majani ni mogaka. mtaani iliwanga ketepa

    siezi sahau place nimetoka, wamboiz wangu ghetto siezi wasahau, wamewai nisave mara mob sana. BTW majani pia huwanga kindom, ama boza

  5. manze hiyo post imeni-inspire kiasi ju bado sijajibwaga kwa uwanjo wa life nikague mashida mathina na ma-problems ivo..lakini unajua noma haijui ka uko kole ama umezaliwa saa hizi..
    lakini eventually, wajua, utatoboa…big up man.

  6. Ey! Hiyo sheng maze si ni conq tu sana. Lakini we boy umetoka mbali jo. Githu 45 ni place ingine kali sana…nina wasee Wendani uko down na nilikuwa na dread kupitia githu manight hivi. We endelea kuweka sir godi mbele na hata ye atadu hivyo tu! Na hiyo website jo si iko poa!….haha hope ma shit made sense!

  7. Mtoi akizaliwa kitu ya fao ni kulia meanin life duniani ni hard………………………………………………………… Nakubaliana na kd, 45 ni hood njimata.Mi hulive huko nanweza kaa baze mpaka maMinuit. Nimezoeana na makauzi na pia maFabO bora tu uwaachie yao namtakua mabeste. Mbona ukue mgumu…….eh wata take by force….forcementation

  8. Mtoi akizaliwa kitu ya fao ni kuwika meanin life duniani ni hard………………………………………………………… Nakubaliana na kd, 45 ni hood njimata.Mi hulive huko nanweza kaa baze mpaka maMinuit. Nimezoeana na makauzi na pia maFabO bora tu uwaachie yao namtakua mabeste. Mbona ukue mgumu…….eh wata take by force….forcementation


Leave a response

Your response:

Categories